Makamu wa Raisi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mhe Samia Hassan
akihutubia wakati uzinduzi wa kampeni ya uchunguzi wa saratani ya matiti
pamoja na mlango wa kizazi kwenye uwanja wa furahisha jijini mwanza
Makamu wa Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Hassan
akizungumza na Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii, Wazee na Watoto
Mhe Ummy Mwalimu (katikati) pamoja na Mwenyekiti wa Chama cha Madaktari
wanawake Tanzania Dk Serafina Mkuwa wakati wa uzinduzi wa kampeni
uchunguzi saratani ya matiti pamoja na mlango wa kizazi
Makamu wa Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Hassan
akimsikiliza Waziri wa Afya ,Jinsia Wazee naWatoto Mhe Ummy Mwalimu
kwenye mabanda yaliyokuwa yanatoa huduma wakati wa uzinduzi kwenye
uwanja wa furahishajijini Mwanza
Makamu Wa Raisi Wa Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania Mhe Samia Hassan
akiwampungia mkono wananchi waliojitokeza kwenye uwanja wa furahisha
Sehemu ya Wanawake waliojitokeza kwenye uzinduzi huo
Home / AFYA
/ MAKAMU WA RAISI MHE. SAMIA AZINDUA KAMPENI YA UCHUNGUZI WA SARATANI YA MATITI NA MLANGO WA KIZAZI KATIKA MKOA WA MWANZA
- Blogger Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)





0 comments:
Post a Comment